Menu

Zaburi 134

BIB

1 Msifuni Bwana, ninyi nyote watumishi wa Bwana, ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Bwana. 2 Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu Bwana. 3 Naye Bwana, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.

Everything we make is available for free because of a generous community of supporters.

Donate